tag:blogger.com,1999:blog-1859130880412241953.comments2024-03-29T16:33:14.557+03:00FULL SHANGWEBLOGJOHN BUKUKUhttp://www.blogger.com/profile/06731096086538498359noreply@blogger.comBlogger783125tag:blogger.com,1999:blog-1859130880412241953.post-23046595785346977862012-08-10T20:31:31.001+03:002012-08-10T20:31:31.001+03:00Jamani tuwaache wanajeshi wafanye shughuli zao kwa...Jamani tuwaache wanajeshi wafanye shughuli zao kwani wana jukumu kubwa la kulinda nchi tatizo ni sie kutoelewa tunatakiwa kuwa sio chini ya km 5 nje ya makambi ya jeshi poleni wananchi wa kimbambaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1859130880412241953.post-12220331967764437992012-08-10T13:58:58.866+03:002012-08-10T13:58:58.866+03:00Isack mme wangu,ulikuwa ni rafiki zaidi ya mume.Ni...Isack mme wangu,ulikuwa ni rafiki zaidi ya mume.Ninakukumbuka sana.
Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi.Amen....Karen.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1859130880412241953.post-46593755278074605592012-08-10T13:57:16.003+03:002012-08-10T13:57:16.003+03:00Isack mme wangu,ulikuwa ni rafiki zaidi ya mume.Ni...Isack mme wangu,ulikuwa ni rafiki zaidi ya mume.Ninakukumbuka sana.
Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi.Amen....Karen.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1859130880412241953.post-3176549552704335642012-08-06T19:01:37.211+03:002012-08-06T19:01:37.211+03:00Tafrija ilikuwa ni Nzuri lakini suala la kuwavalis...Tafrija ilikuwa ni Nzuri lakini suala la kuwavalisha wafanya kazi Hadi kwenye mnuso Naona si jambo Zuri. Au ilikuwa ni Alama Ili waweze kutammbulika vizuri?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1859130880412241953.post-73257577049200302882012-08-06T07:43:06.693+03:002012-08-06T07:43:06.693+03:00Futari inaliwa Baa???? acheni kudhalilisha dini ma...Futari inaliwa Baa???? acheni kudhalilisha dini maana hicho ni chakula cha Usiku au Jioni hakina maana halisi ya futariAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1859130880412241953.post-57957689237893535652012-08-01T13:40:02.651+03:002012-08-01T13:40:02.651+03:00MH.NAPE MIMI NAUNGANA NA WEWE 100%.KWANZA NAMPONGE...MH.NAPE MIMI NAUNGANA NA WEWE 100%.KWANZA NAMPONGEZA MH.MWENYEKITI KWA UTEUZI WA MH.PRO.SOSPETER NA MH.MASWI.TAYARI MATUNDA YAO TUMESHA FAIDI KWA ARI MPYA,NGUVU MPYA,NA KASI MPYA.CCM OYEEEEEEEEE.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1859130880412241953.post-12268161419387552192012-08-01T13:34:23.514+03:002012-08-01T13:34:23.514+03:00Nakubaliana kabisa na mdau wa GPL kwa kutoa mawazo...Nakubaliana kabisa na mdau wa GPL kwa kutoa mawazo yake kuhusu hili. Hawa jamaa wanafanya mambo yao kiholela holela sana. Kwanza hivyo vigezo hapo kama vingefutwa kuna badhi yao hapo wasinge shinda maana na wao ukiangalia blog zao wana copy na kupaste na pia wanatafsiri habari sana akiongoza Millard Ayo na DJ Fetty. Mimi ningependa kujua vigezo gani vimetumika na nin ani alikuwa kwenye japo la maudge kuwa chagua watu hawa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1859130880412241953.post-73539803762965504732012-07-26T18:13:07.173+03:002012-07-26T18:13:07.173+03:00tuwekee matokeo ya yanga ni ngapi ngapi mpaka sasa...tuwekee matokeo ya yanga ni ngapi ngapi mpaka sasa kakaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1859130880412241953.post-24161733290071034012012-07-25T06:19:16.650+03:002012-07-25T06:19:16.650+03:00Kaka mbona leo picha moja tu!Kulikoni?AhahahahKaka mbona leo picha moja tu!Kulikoni?AhahahahJeffhttp://bongocelebrity.comnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1859130880412241953.post-26098061147771132182012-07-19T00:03:23.468+03:002012-07-19T00:03:23.468+03:00mungu awasalimu salama waliopona. na awaponyeshe h...mungu awasalimu salama waliopona. na awaponyeshe haraka kwa uwezo wake na matakwa yake.
waliofariki dunia. allah awasamehe madhambi yao na awalipe kwa kadri ya matendo yaoAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/06626369384030859590noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1859130880412241953.post-73404976999833285112012-07-14T21:46:33.966+03:002012-07-14T21:46:33.966+03:00uncle wangu unaanza vizuri..Taa ya mungu na ikimul...uncle wangu unaanza vizuri..Taa ya mungu na ikimulikie,,,uzidi kuwa mkali hivyohivyo,,,godbless youAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1859130880412241953.post-1888256685247194772012-07-13T08:17:46.061+03:002012-07-13T08:17:46.061+03:00Big up Simba to take this Urafiki Cup.
Let us now ...Big up Simba to take this Urafiki Cup.
Let us now look forward to Kgame Cup.
Viva Simba Sports Club.
The Big Club in Tanzania and East Africa a s a whole.
Keep it up Simba, we are behind you always teach them on how to play soccer.
Regards,
Benson from Arusha Tanzania EA.Anonymoushttps://www.blogger.com/profile/08805661438134745469noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1859130880412241953.post-5802086169978179552012-07-09T03:20:50.601+03:002012-07-09T03:20:50.601+03:00Rusha matukio bwana,acha habari za kutuambia uko w...Rusha matukio bwana,acha habari za kutuambia uko wapi.Au unauza sura...unataka umaarufu?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1859130880412241953.post-14618397760441055582012-07-07T00:25:22.967+03:002012-07-07T00:25:22.967+03:00hongera sana kiongozi. tumekuwa na taasisi nyingi ...hongera sana kiongozi. tumekuwa na taasisi nyingi zenye mawazo mazuri kama ya kwenu, je mnatofauti gani na hao wengine wenye sera kama za kwenu kwa zaidi ya miaka 10?mkulimanoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1859130880412241953.post-55926929845481766602012-06-29T16:25:27.566+03:002012-06-29T16:25:27.566+03:00Yan wewe unachekesha sana, hao watoto wako wewe nd...Yan wewe unachekesha sana, hao watoto wako wewe ndio utawatafutia waume au wake, hayo yalikuwa ya zamani jomba. hivi hujui hata bila mgomo wapo wengi wanaokufa kwa kukosa huduma bora ambazo serikali inao uwezo wa kuzitoa ila hazitolewi tu kwa sababu ya ufisadi? au wewe ni magamba, ilaumu serikali uliyoiweka madarakani kwa kura uliyowapa baada ya kula pilau kupewa kapelo na mkeo akapewa khanga, huu ndio mshahara wake, hudhani kwamba kama mafisadi wangerudisha pesa yetu huduma zingekuwa bora?

Kuna wengine nasikia wameweka mahela kibao kwenye off shore accounts shs kama 300bn afu wako sita tu.
Tafakari brother/sisterAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1859130880412241953.post-82525573952361250622012-06-29T16:24:44.049+03:002012-06-29T16:24:44.049+03:00Yan wewe unachekesha sana, hao watoto wako wewe nd...Yan wewe unachekesha sana, hao watoto wako wewe ndio utawatafutia waume au wake, hayo yalikuwa ya zamani jomba. hivi hujui hata bila mgomo wapo wengi wanaokufa kwa kukosa huduma bora ambazo serikali inao uwezo wa kuzitoa ila hazitolewi tu kwa sababu ya ufisadi? au wewe ni magamba, ilaumu serikali uliyoiweka madarakani kwa kura uliyowapa baada ya kula pilau kupewa kapelo na mkeo akapewa khanga, huu ndio mshahara wake, hudhani kwamba kama mafisadi wangerudisha pesa yetu huduma zingekuwa bora?

Kuna wengine nasikia wameweka mahela kibao kwenye off shore accounts shs kama 300bn afu wako sita tu.
Tafakari brother/sisterAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1859130880412241953.post-3305615096180259922012-06-29T08:16:49.985+03:002012-06-29T08:16:49.985+03:00asante baba askofu, afandhali umeliona hili, tunaw...asante baba askofu, afandhali umeliona hili, tunawaogopa sana wafadhili hasa wamarekani wanaotumia mamilioni isivyo stahili, huenda wana ajenda zao za siri hususan ile ya kutaka kutuletea tabia za kiajabu ajabu ya kugeuzana....Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1859130880412241953.post-57602004426796712182012-06-28T08:14:00.032+03:002012-06-28T08:14:00.032+03:00Binafsi nimefarijika sana na kipigo alichokipata U...Binafsi nimefarijika sana na kipigo alichokipata Ulimboka huo ndo mshahara wa dhambi. Yeye amewaongoza wenzake kuacha roho za watu maskini wa nchi hii waliokuwa na uwezo wa kwenda kununua panadol wafe. Madaktari chini ya uratibu wake wameendelea kugoma kwa kudai maslahi yao, wakati wanajua kugoma kwako hawawakomoi Kikwete wa wala Pinda ila wanamkomoa Babu yangu mzaa Mama aliyefikia Bugando Hospitali wakati anasubili kufanyiwa upasuaji wa kibofu cha Mkojo, yeye akawahimiza wenzake wagome.

Nimefarijika kwamba hawakumuua ila wamemuonesha kwamba, huo ndiyo MSHAHARA WA DHAMBI anazowaongoza wenzake kuzifanya za kuacha roho za wananchi maskini wakiteseka kwa kutaka kuongewezwa fedha.

kuna namna nyingi za kudai maslahi yao kama ni sahihi lakini siyo kwa kuacha kumtibu Mgonjwa ambaye hana mbele wala nyuma.

Kwa kweli sina huruma na Madaktari kabisa waliogoma sina huruma na huyu kikaragosi wao Ulimboka na wote waliogoma. Inakuwaje haki za Binadamu anapopigwa Ulimboka lakini hiyo haki ya Binadamu haisemwi pale roho za wasio kuwa na hatia zkitoka kwa UJINGA na UPUMBAVU na TAMAA na KUTOKUWA NA HURUMA kwa Madaktari waliosomeshwa kwa fedha za mlima tumbaku kule Tabora au Korosho kule Mtwara au Pamba kule mwanza n.k ambaye ushuru wa mazao yake ndiyo unaowasomesha Madaktari na wanakuwa na VIBURI vya kuacha kuwahudumia na wanakufa!!!

Nimefurahi sana na kufarijika sasa acha akae Hospitali apewe huduma kisha avae nafsi ya mtanzania aliyevamiwa na majambazi akapigwa na kuwa kama yeye kisha afike Hospitali na hali aliyokuwa nayo yeye Ulimboka na akute yeye Ulimboka amewaongoza wenzake kugoma. Ndugu zake na yeye mwenyewe wangejisikiaje??

Huduma zenyewe zinazotolewa na Madkatari wetu ni "MAGUMASHI MATUPU" huduma wanazotoa ni kama wako kwenye MGOMO kila siku.

Nasema kwa hatua hii ya kupigwa kwa Ulimboka wala Serikali isilaumiwe wajilaumu wao wenyewe. Mimi nimeapa hata aje Daktari wa namna gani hataweza kumuoa Bint yangu au kuolewa na Mtoto wangu. watu gani wauaji hivi wanadhani wao ndiyo muhimu peke yao?

Kila mtu katika Taifa hili ni muhimu.

Nasema acha ulimboka apate kichapo ateseke Hospitali lakini asife akitoka hapo atakuwa na mbinu mbadala ya kudai maslahi yao badala ya kugoma na kusababisha roho za wapendwa wetu kutoka kwenye Mikono yao.\

Nasema hawa jamaa ni wajinga sana, hebu jiulize Wakina Mama wangapi wanakufa kwenye mikono yao kwa kukosa kuwasaidia wakati wa kujifungua? tazama taarifa zao wanazoandika za Uongo kuhusu sababu za kifo, jiulize ni watu wangapi wanakufa kwa kukosa muda wa kumuita Daktari anayeongea na Bwana wake au mwanamke wake kwenye simu?

Jiulize ni mara ngapi Daktari wanaua ndugu zetu kwa kufanya upasuaji kwa makosa lakini nani aliyeamdamana?

Kuna mtoto alichomwa sindano akapooza mwili mzima waulize Hao Madaktari wanasemaje, hawajamtaja hata huyo mwenzao aliyefanya hayo kwa makusudi.

Nasema acha apate kipigo na wengine wapate kipigo tena na tena

TUMEWACHOKA MADAKTARI WETU UCHWARAAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1859130880412241953.post-25365563868228544462012-06-28T08:13:05.532+03:002012-06-28T08:13:05.532+03:00Binafsi nimefarijika sana na kipigo alichokipata U...Binafsi nimefarijika sana na kipigo alichokipata Ulimboka huo ndo mshahara wa dhambi. Yeye amewaongoza wenzake kuacha roho za watu maskini wa nchi hii waliokuwa na uwezo wa kwenda kununua panadol wafe. Madaktari chini ya uratibu wake wameendelea kugoma kwa kudai maslahi yao, wakati wanajua kugoma kwako hawawakomoi Kikwete wa wala Pinda ila wanamkomoa Babu yangu mzaa Mama aliyefikia Bugando Hospitali wakati anasubili kufanyiwa upasuaji wa kibofu cha Mkojo, yeye akawahimiza wenzake wagome.

Nimefarijika kwamba hawakumuua ila wamemuonesha kwamba, huo ndiyo MSHAHARA WA DHAMBI anazowaongoza wenzake kuzifanya za kuacha roho za wananchi maskini wakiteseka kwa kutaka kuongewezwa fedha.

kuna namna nyingi za kudai maslahi yao kama ni sahihi lakini siyo kwa kuacha kumtibu Mgonjwa ambaye hana mbele wala nyuma.

Kwa kweli sina huruma na Madaktari kabisa waliogoma sina huruma na huyu kikaragosi wao Ulimboka na wote waliogoma. Inakuwaje haki za Binadamu anapopigwa Ulimboka lakini hiyo haki ya Binadamu haisemwi pale roho za wasio kuwa na hatia zkitoka kwa UJINGA na UPUMBAVU na TAMAA na KUTOKUWA NA HURUMA kwa Madaktari waliosomeshwa kwa fedha za mlima tumbaku kule Tabora au Korosho kule Mtwara au Pamba kule mwanza n.k ambaye ushuru wa mazao yake ndiyo unaowasomesha Madaktari na wanakuwa na VIBURI vya kuacha kuwahudumia na wanakufa!!!

Nimefurahi sana na kufarijika sasa acha akae Hospitali apewe huduma kisha avae nafsi ya mtanzania aliyevamiwa na majambazi akapigwa na kuwa kama yeye kisha afike Hospitali na hali aliyokuwa nayo yeye Ulimboka na akute yeye Ulimboka amewaongoza wenzake kugoma. Ndugu zake na yeye mwenyewe wangejisikiaje??

Huduma zenyewe zinazotolewa na Madkatari wetu ni "MAGUMASHI MATUPU" huduma wanazotoa ni kama wako kwenye MGOMO kila siku.

Nasema kwa hatua hii ya kupigwa kwa Ulimboka wala Serikali isilaumiwe wajilaumu wao wenyewe. Mimi nimeapa hata aje Daktari wa namna gani hataweza kumuoa Bint yangu au kuolewa na Mtoto wangu. watu gani wauaji hivi wanadhani wao ndiyo muhimu peke yao?

Kila mtu katika Taifa hili ni muhimu.

Nasema acha ulimboka apate kichapo ateseke Hospitali lakini asife akitoka hapo atakuwa na mbinu mbadala ya kudai maslahi yao badala ya kugoma na kusababisha roho za wapendwa wetu kutoka kwenye Mikono yao.\

Nasema hawa jamaa ni wajinga sana, hebu jiulize Wakina Mama wangapi wanakufa kwenye mikono yao kwa kukosa kuwasaidia wakati wa kujifungua? tazama taarifa zao wanazoandika za Uongo kuhusu sababu za kifo, jiulize ni watu wangapi wanakufa kwa kukosa muda wa kumuita Daktari anayeongea na Bwana wake au mwanamke wake kwenye simu?

Jiulize ni mara ngapi Daktari wanaua ndugu zetu kwa kufanya upasuaji kwa makosa lakini nani aliyeamdamana?

Kuna mtoto alichomwa sindano akapooza mwili mzima waulize Hao Madaktari wanasemaje, hawajamtaja hata huyo mwenzao aliyefanya hayo kwa makusudi.

Nasema acha apate kipigo na wengine wapate kipigo tena na tena

TUMEWACHOKA MADAKTARI WETU UCHWARAAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1859130880412241953.post-55457231045827467742012-06-26T13:50:24.392+03:002012-06-26T13:50:24.392+03:00angella na Somoe mko juu, jamii inahitaji watu kam...angella na Somoe mko juu, jamii inahitaji watu kama nyinyi ili muendeleze libeneke. Mheshimiwa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1859130880412241953.post-44719180312274139102012-06-23T11:55:17.324+03:002012-06-23T11:55:17.324+03:00Wataalamu kuwa watumwa kwa wanasiasa ndio chanzo, ...Wataalamu kuwa watumwa kwa wanasiasa ndio chanzo, UBINAFSI NDIO MZIGO MNENE... MAMLAKA KAMA TRA, BANDARI NA BENKI KUU HUKO KUNA MIHELA YA KUMWAGA KUWALIPA HAO WAFANYAKAZI NA MADAKTARI BKOZ NI VIKARAGOSI BAASI MNAAMUA KUTOA MTAKACHO...
We mwananchi weweee unayelalama leo eti oooh mara uuuh hawa wabinafsi mara wanataka hela nyingi ,unajua hao wengine wanapata kiasi gani??? Unajua kima cha chini cha Mfanyakazi wa TRA,BENKI KUU NA BANDARI???? oooh hao ndio muhimu kwenu zaidi ya Madaktariii??? Unafahamu shida na taabu za daktari akiwa shule tangu sekondari???
Masomo gani mnayaogopa class zaidi?? Why mnaogopaaa? Magumu na yanahitaji muda wa kutosha na unausahau usingizi toka O LEVEL mpaka mwaka wa SABA WA KUAJIRIWA MAANA UNAKUWA MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU MIAKA MITANO YA UDAKTARI NA MAFUNZO KAZINI MWAKA MMOJA... Alf mwingine anasoma miaka mitatu na Mazingira MURUA YA KAZI YAKE OFISINI TRA AU BENKI KUU ALF UNAMLIPA MIHELA LUKUKI ALF USEME ETI MADAKTARI HAWANA UZALENDOOOOOO!!!!!
Watu wanalipwa mamilioni alf USEME NINI????rubenmwakilimahttps://www.blogger.com/profile/01434893150945696591noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1859130880412241953.post-40604018711210278152012-06-23T01:01:45.202+03:002012-06-23T01:01:45.202+03:00Inasikitisha kusikia madaktari wanagoma! kwanza wa...Inasikitisha kusikia madaktari wanagoma! kwanza wamesomeshwa na kodi zetu watanzania. Wana angalau mishahara ahueni ukilinganisha na sekta nyingi yaani watanzania wengine! Wanasahau kuwa kujinyima kwa watanzania wana deni la kulipa! Wangelituonea huruma sisi ambao bado tunahitaji huduma ya fedha hiyo ndogo ya mchango wa jasho la watanzania ili tusome pia; tulio barabarani tuwezeshwe pia angalau kupata mkate wa kila siku! Wamesahau kuwa sisi pia tuna haki! Machinga tulio barabarani hatupendi ila tulidhani wenzetu waliosoma ikiwa ni pamoja na madaktari, wabunge na viongozi pia wanasiasa wangelitizama hilo! Ubinafsi, kutojali kuwa Tanzania ni yetu sote na kujiona sekta fulani ni bora zaidi ya nyingine italipeleka taifa hili kusambaratika! Tutauana pasipo sababu ya msingi. Ni uroho na ubinafsi na misukumu finyu ya kutaka madaraka na umaarufu ajenda za siri zinaliua Taifa lililokuwa na amani. Eee Mungu tunusuru!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1859130880412241953.post-91519812833309855322012-06-22T20:08:18.885+03:002012-06-22T20:08:18.885+03:00Linaloshangaza wanakimbilia kuwafunguliwa mashitak...Linaloshangaza wanakimbilia kuwafunguliwa mashitaka hawa wanaoiba vimilioni 4 wakati wa wa mabilioni wakiachwa waendelee kutesa. Au kwa sababu hawafahamini na wakubwa? Tuanze na wezi wakubwa wadogo wataogopa.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1859130880412241953.post-19722902293435018642012-06-22T11:48:10.852+03:002012-06-22T11:48:10.852+03:00Mama umenenepa.... fanya mazoezi kidogo pamoja na ...Mama umenenepa.... fanya mazoezi kidogo pamoja na twigaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-1859130880412241953.post-73666348565487207582012-06-19T01:02:50.488+03:002012-06-19T01:02:50.488+03:00mniboa eatv kwanini hamtuwekei mbonie show k...mniboa eatv kwanini hamtuwekei mbonie show kwenye youtube kwani na sisi tuliokuwa nje ya nchi tufaidi kidogo jamani tuwekeeni hata vilivyopita kwetu vitakuwa fresh tuAnonymousnoreply@blogger.com